Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
1,246
Reaction score
413
Habari wakuu,

Naamini ni wazima wa afya.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Ndugu zangu, nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu, tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lakini mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lakini bado ikawa bado mtoto kupatikana.
.
 
Aiseeeee wanaume wa siku hizi sijui tupoje tupoje yaani hapo mambo yapo wazi kabisa kuwa mkeo aligongwa na hawara yake alafu mnasuluhishwa na wewe unakubali

siku mbili anakwambia kuwa ana mimba yako alafu unakuja kulia lia humu kuomba ushauri

Timua huyo ni malaya sio mke...mambo mengine hayaitaji kabisa kupeana ushauri yaani umenikera kuliko Magufuli aaaaaarg
 
Wenye jamaa sijui niseme una roho ngumu au vipi?! Kwamba huyo kicheche wako unayemuita mke ameenda kugawa K tena kwa kulazimisha na wewe unajua halafu bado unaye tu?!! Aisee mimi huwa nasema mke wangu amegwe sana tu nje akiweza ila ahakikishe sijui! Sasa wewe cha kukushauri ni kulea hiyo mimba vizuri kabisa. Mtafutie na embe mbichi na udongo kabisa na hata ukiweza beba mgongoni kupeleka kliniki
 
..nimeipenda hiyo {Inauma}!!

Lkn we jamaa ni mzima kweli!?? Mkeo(wa ndoa) ankuacha anenda nje kudhini alaf anarudi unamsamehe!?? Je Akikuletea UKIMWI utakuja kuomba msaada hapa!??...

..Eti ansema huyo jamaa "hasimamishi vizuri"!! kwa hali ya kawaida huyo jamaa angekuwa HANITHI mkeo angeenda kufuata "PIRA/MSHEDEDE"!!??

Bro tumia akili..dhambi ya uzinifu kwenye ndoa inatosha kabisa kuvunja ndoa!??

DONT BE DUMB...HUYO MWANAMKE ATAKULETEA WATOTO WA MAJAMBAZI HUMO NDANI..

...Inauma!!...Inauma..!!
 
Unagongewa mkeo halafu una mwaga full data hapa, kama kenda kugegedwa na lijamaa. Wewe utakuwa na kibamia au matatizo ya mdushelele wako hausimami dede.[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
da aisee kuna watu wana ujasiri wa ajabu duuh...
 
Kabla ya yote nenda ukapimwe akili....
Inakuuma...??

Huyo mwanamke ni.......... Anaenda kugegedwa na unalijua kabisa...

Dah sisi wanaume sijui tunaongozwa na mbupu badala ya akili....

Fukuza.....!
 
Dah....eti hasimamishi vizuri ....hii ndiyo shida pale mwanaume anapoolewa na mkewe[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Asante
 
Haaah ngoja nicheke kwanza japo siyo vizuri lakini sina budi kufanya hivyo,,lakin kwani ameshakwambia kila kitu na umejua,,sasa unataka ushauri gani tena
 
Nashukuru wanajamii kwa USHAURI wenu
1. Sikujua moja kwa moja siku hiyo hiyo kuwa akaenda wapi nilikuja kujua wiki baadae lkn sikuwah kulala naye
2. Najua tu kwa post yangu hii imekera wengi hasa wanaume wenzangu Lkn hata mimi pia ni mwelewa pia (sio boya kiviile kama wengine wanavyonifikiria nilitoa story yote ili upate picha ya kunishauri hasa hapo tu kwenye ujauzito ambapo nilihitaj kutanuwa mawazo)
3. Sawa vyovyote mtakavyonifikiria lkn kwann nimekaa nae hichi kipindi chote kwaajili kumuachanisha na biashara zangu ambazo yeye alikuwa akizisimamia kuniathili mimi au biashara ambapo kwa kiasi fulan nimeanza kufanikiwa mara nyingi nakuwa kazini hapa Halimashauri ya Jiji.
Natoa shukrani za dhati kwenu wote mlioacha kazi zenu na kunishauri.
Asante!!
 
Dah kweli wanaume bwege wapo wengi, fukuza akikung'ang'ania mtelekeze ukaanze maisha mapya, au baada ya kuletewa mtoto subiri uletewe na ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…