Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Sijui jamaa una roho ya Kigadaffi!!

Yaani una roho ngumu zaidi ya mhudumu wa mochwari!

Mwanamke ana kuambia jamaa aliyekutana nae hasimamishi mzingo hahaha dah! Kama hasimamishi alienda kuchukua nini huko?

Wee bro chukua maamuzi magumu zaidi ya yale ya Lowasa kuhamia Chadema!

Piga chini fanya uteuzi mwingine ASAP
 
duh kweli mkeo kakuchoka kaenda kwa hawara lakini hasimamishi vizuri ? kama unakifua vumilia mtoto akizaliwa kampime DNA ila na uhakika si wako kama kweli umeweka kila kitu wazi
 
umesema mkeo hakufanikiwa kupata ujauzito adi mkaenda kwa DKT flani na kuwapa dawa? ndo ujifunze kuwa matatizo mengine mtatuaji ni MUNGU na sio mwanadamu huyo dkt ndie aliye mlala nakumpa ujauzito.
 

Umeeleweka mkuu, ungekurupuka kumtoa nduki angeondoka na biashara.
 
Samahani sijaelewa eti amegegedwa na hawara yake huko.!!!
Hv we ndo umeoa au umeolewa???
Rudisha kwao kwanza akagegedwe vizuri na jamaa!!
 
umesema mkeo hakufanikiwa kupata ujauzito adi mkaenda kwa DKT flani na kuwapa dawa? ndo ujifunze kuwa matatizo mengine mtatuaji ni MUNGU na sio mwanadamu huyo dkt ndie aliye mlala nakumpa ujauzito.

Ukisoma vizuri kuna mahali waliambiwa waanze kukutana tar 1-5 Sept, sasa wife zile tarehe zilipofika alimpelekea kipochi manyoya mchepuko wake ili yeye ndiye atie hiyo mimba, kwa hiyo alivyorudi ndo akawa na mimba tayari.
 
Mkuu kwanza nakulaumu kwa kuendelea kuishi na mwanamke wa aina hiyo huku ukimjua kabisa

Kwa kifupi, subiri mtoto azaliwe kisha ufuate taratibu za ustawi wa jamii kupima DNA. Mtoto hapo atajulikana ni wa nani na wewe utajua hatua ya kuchukua kuanzia hapo

Pole sana kwa matatizo. Hakikisha unafanya maamuzi sahihi kwa manufaa ya mtoto ambaye kimsingi hana hatia
 
Unaroho ya ajabu had nasisimka hata kama ni mapenzi sio kwa style hiyo inaelekea mazoea yamekutawala juu ya huyo mkeo au mkeo mzuri sana hata kama sikushauri kuendelea nae tafuta mwingine ila weka wazi kwa wazee kwanza anika ukweli woteee
 
Ukisoma vizuri kuna mahali waliambiwa waanze kukutana tar 1-5 Sept, sasa wife zile tarehe zilipofika alimpelekea kipochi manyoya mchepuko wake ili yeye ndiye atie hiyo mimba, kwa hiyo alivyorudi ndo akawa na mimba tayari.
kwahiyo alitaka mimba ya hawara asie na kazi ili mtoto aleleww na mwenye kazi?i
 
Kama ana mzunguko wa siku 28.... na tar 20/8 alianz mp...then


Mkakutana kuanzia tar 1-5/9
Ina maana mlikutana siku za hatari(mlikutana tar 2/9...akiwa siku hatari...tena veeery hatari)

Inamaana aliingia mp tena kuanzia tar 16/9...

Hivyo alikuwa tena kwenye siku za hatari kuanzia tar 26/9-30/9

Kuna posibilities kubwa mimba yako....... (au jmaa mwingine kachangia vidole[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38])

Uhakika ni kusubiri mtoto azaliwe
 
Kaka usiwasikilize hawa jamaa qanaokushauri kumuacha mkeo,mkeo ni wako na msameheane,ongea nae akuwlwze sababu za kuchepuka ili uzitatue na muendelee na maisha yenu
 
Gharamia hiyo mimba mpaka mtoto azaliwe kwa kusainishana mkataba halafu mwende kwenye DNA test. Kama atakuwa sio wa kwako basi akurudishie gharama zako zote kwa ajili ya huo ujauzito.
 

Mimi nimemwelewa hivi,

Tar 20/8 ndo hedhi ilianza, dokta alishauri wakutane tar 1-5/9 kwani ndo tar mimba inaweza kutungwa.

Yeye alikutana na mke wake tar 29 au 30/8, na ilipofika ule muda dokta alioshauri wakutane kwa ajili ya kutengeneza mtoto wife wake akalazimisha safari kwenda kumpa jamaa mwingine ili yeye ndo aingize mimba.

Hapo kama mimi sihitaji kusubiri DNA, na wala sitakaa niiulizie.
 
We mburula hujielewi wew,kama vipi Lea mimba akizaliwa kapime DNA tu upate jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…