Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Hata mtume Muhammad alisema hivi ..Bado tunaisubiri hiyo sikuSiku moja hawa wakimbiz wa israel watafurumushawa tu
Unawaombea Wapalestina kwa Allah wakati kuna Aya inasema Jews wawauwe Palestinan wote... so kwa Wema wa Jews wakawasitiri na kuwaacha hai.. sasa Palestians ndio lengo lao kuwauwa Jews wote na hali ilivyo Jews ndio wanapambana kusurviver kama historia yao ilivyopambana hadi kuwepo leo hii...Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa.
Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin!
Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia nguvu, hakika kwa kila zito upo wepesi, na ahadi ya Allah ni yenye kutimia, Allah awatie nguvu waislamu wote wa Palestina tupo nyuma yao kwa dua na sala inshaaAllah
View attachment 2323090
Sheikh rashidi shukery kutoka OMANI, Allaah akupe heri nyingi kwa kuwakumbuka ndugu zetu wapalestina.
Hivyo tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu wapalestina kwa mitihani wanayopitia.
Kwa hiyo wewe unafikiri Mungu haini?Mungu alishamwambia Ibrahimu kuwa nchi ile amempa yeye na watoto wake. Wakubaliane waishi pamoja maana wote I watoto wa Ibrahimu.Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa.