EddyArt
Member
- Jul 26, 2024
- 48
- 76
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5.
Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja.
Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira rasmi nimeona kipaji changu ni fursa ya kuyaendesha maisha yangu.
Nipo Dar-es-Salaam na ninapatikana kwa No. 0685069818
Pia nina weza kuwasilisha pendekezo ambalo lina maelezo ya kiundani zaidi kuhusiana na maombi ya zabuni kwa watu binafsi,mashirika,makampuni na kadhalika.
Uaminifu,uchapakazi na uadilifu ndio silaha ya kazi zangu bora.Nimeambatanisha baadhi ya kazi zangu kama zinavyoonekana hapo chini👇👇👇.
Asante.