Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy
Mwanamke wa kwanza
Huyu nilidumu nae ko mda wa mwaka mmoja tu nakumbuka kipindi icho nimehitimu kidato cha sita ndo nika azisha mahusiano nae lakini tulikuja kuachana baada ya mwanamke kugundua anatembea na washikaji zangu japo ilikuwa ngmu sana kuachana na washikaji walinionya nikiwa mbishi japo alikuwa anachepuka na najua lakini ikawa ngumu sana kumuacha mpaka ilinibidi anikute na mwanamke mwingine ndani ilinimuache tu yaani anichukue tu japo alikuwa mdogo wangu ili nilimpanga tukaachana
mwanamke wa pili
Huyu mwanamke nilianzisha mahusiano nae nae nikadumu nae baada ya mwaka mmoja nakupumbuka ilikuwa ni baada ya kumaliza mwaka wa tatu alikuwa mwanamke mzuri tu lakini sio kama wa kwanza of ila nilimpenda sana tofauti na mwanamke wa kwanza nahisi kwa sababu tuliishi pamoja japo yeye alikuwa mwaka wa pili tuliishi kwa mwaka mmoja mimi nikamaliza lakini yeye aliendelea.Nikajapata changamoto baada ya kuwa mbali nae akaanza kuwa na michepuko huko mpaka akapata ujauzito ambao sio wangu lakini akasema wangu na mm nikagoma kwa sababu nilikuwa na ushahidi kama sio wangu japo nina mvulia na kuchepuka kwake yaani ata sijielewi kwanini najua ila sina cha kumfanya na mimba akatoa pia na nilikuwa nafanya siri ata washikaji siwambii kitu
Mambo yakanizidi ikabidi niwe nasema nawambia rafiki zetu wakaribu na siku wana mke akajua sababu kipindi icho uchumi hakuwa vizuri kwao ko nilikuwa na msave ela ya kula na ya kodi pia nilikuwa nalipa maana nilimuachea sehemu niliyopanga pale naye akaja kujua kuwa nimewambia watu akakasirika sana lakini tukawa tunaendelea kudate akawa ananipiga vibomba tu lakini alikuja nikwanza sana baada ya kuanza kuleta wanaume sehemu ambayo tunaishi nikawa napokea simu za majirani sana zikiniambia hiyo taarifa lakini still bado nampenda na nikamuonya kwanini anawaleta pale akati kila mtu anajua kama ni mwanamke wangu
Kuna kipindi shangazi angu alinilea na kunisomesha alipata malazi nikaugua nikalazwa kwa sababu huku sina ndugu
na marafiki tulisoma chuo wote pale bugando ikapindi mimi ndo niwe mtu wakumpa msaada sababu ni mazingira ya chuo nikaomba awe ananisaidia kupika lakini akasingizia anaumwa kumbe kalala na jamaa tu ndani.
Hicho kitendo kilini kasirisha sana kikapelekea ugomvi mkubwa sana maana niliacha kumpa hela ya matumizi siku moja akazima simu yangu nikampa akaend akuuza tukagombana sana nakumbua siku hiyo nilijifanya na hasira na nikampiga makofi mawili ya kujifanyisha nakaona nanizoea kiufupi mimi kwake nimekufa nimeoza ata sielewi
kutokana na ugomvi sina kazi nikapata msongo wa mawazo sana ikabidi nisafiri niende mbali labda ntamsahau huyu mwanamke na mawazo yatapungua lakini nikajikuta na mzigo tu nikaamua kumtafuta nikiwa mbali tuongea kila mtu aweke mambo sawa maisha yaendelee maana nilikuwa na kinyongo nae sana mpaka nikumuona na tetemeka hasira nakumbuka nilikaa miezi minne bukoba kwa ajili yake nikarudi tena mwanza kwa sababu nilikuwa nataka kuanzisha biashara ya duka la dawa
biashara nafanya vizuri shida ni huyu mwanamke nikimuona status whatsup au kwenye mtandao wa kijamii wowote huwa napata mood change napata stress ghafla na huwa mara nyingi naoana anampost mshikaji wake na nahisi kuna kipindi huwa nanifanyoa show off japo mshikaji wake hampendi pia lakini mimi nimgumu sana kumsahau huyu mwanamke maana mpaka sasa ni zaidi ya miezi nane sina mahusiano nae nahisi nahasirika kisaikolojia kutiokana na mawazo
na akiwa na shida huwa ananitafuta lakini huwa na muignore sababu naona anazingua....Moja ya kitu ambacho kinanipa shida mimi ni tu mbae huwa na shida ya ant social yaani sio kwamba sichangamani na wengine hapana mimi ni mkimya sana lakinimpaka nizoea sana na mtu ndo tutapiga story ko mda mwingi nakuwa pekeangu mpaka waje washikaji tulizoeana sana
pili huwa nisikuwa na mahusiano mawazo ya kufanya tendo sina kabisa yaani na nikiwa na mahusiano bhas ni hayo hayo siwez kuwa na wanawake wawili na nikiachana mwanamke huwa natumia mda sana adi nipate mtu mwingine mpaka majirani huwa wananishangaa wengine huisi labda ni mgonjwa maana ata ukinitega mimi sina mda na ww
naombeni ushauri nimechoka na hizi stress na mood change nifanyaje