Ndugu zangu ninayopitia mimi kwenye mahusiano au mimi pekee ndo nayo yapitia kwa kuachwa hivi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Apewe tuzo ya kujitunza
Hata mimi nimsehtuka. Wakati mimi nikiwa na umri huo nilikua nakimbilia kwenye 100.

Ningekua na mkwanja ningeshakufa na ukimwi
 
Pole sana... Achana nayo kama yanakupa shida...
 
Yaliyomkuta huyu dogo na mie yamenikuta mmmh nayajua maumicu anayopitia.
 
Shughulika kwanza na nguvu za kiume...pamoja na psychologia yako kuhusu wanawake...you're a man enough mbele wa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…