Wewe kwanini unataka wafunike?
Toa sababu zako kabla ya wadada kutoa zao.
apelekwe twisheni kwa kombai tribe.
Wewe kwanini unataka wafunike?
Toa sababu zako kabla ya wadada kutoa zao.
Hua nikiangalia vipindi vinavyohusiana na watu wa aina hii hua nashangaa iweje wao waweze kujicontrol/wawe na discpline na sisi tushindwe. Maana wangekua kama hawa wakwetu nadhani kila siku kungekua na kesi kadhaa za ubakaji.View attachment 46090View attachment 46091View attachment 46092
Unaona hawa
Wala hawalalamiki
Na heshima mbele
Na hakuna kutamani mke wa mwenzio