Ndugu zangu wa mikoani mmeanza kuniangusha

Hahahha alomkataaa mwezake mi mnafiki sana ila ndo sawaView attachment 825131
Halafu huyu anajifanya fb ni ya kwake na ana majibu ya mkato mkato kwa watu.
Ila mi najua kuruka ruka kwa maharage ndo kuiva kwake,.. Hajakutana na mpishi nzuri. Kuna siku nitamsumbua halafu nimuache ili nimpunguze mdomo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…