naliwe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 410
- 987
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa nikashikwa na aibu sana tukio hili limenifanga nikumbuke mwaka Jana alipolazwa nilijifungasha majuisi na vitu vingi tuu ajabu hakula ata kimoja badala yake nikavikuta ameviweka dukani kwake anauza baada ya kuruhusiwa kutoka hospital ni aibu shemeji zangu mbasilike,utajili sio kujinyima