Si huyo tu,Hata waziri mkuu wa Uingereza amezaliwa Kamachumu.Ana undugu na akina Kugi'sBaada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
SIPENDI ukabila ila Hawa Jamaa pia Huwa siwapendi zaidi.
Miaka ya 70s Raisi wa Urusi alikaa sana pale Rwamishenyi alijifunza sana kihaya na nyumba yake bado ipo pale Rwamishenyi......Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
Haha haha haha
Haha haha haha