Maandiko yanatutakaje kuhusu kubugia ngamia?Kwato na kucheua ni utaratibu wa kiyahudi tu nafikiri.
Ndio maana waislam hawali nguruwe ila ngamia wana kula .
Na wayahudi hawali nguruwe wala ngamia.
Nguruwe anaonewa sana. Sijui akiwakosea nini WasabatoMimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)
Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni Ngamia. Kwa sababu ngamia hana kwato zilizogawanyika pande mbili japo anacheua (Walawi 11:4)
Kwenye Orodha ya wanyama najisi wasio faa kuliwa, nguruwe katajwa mwishoni. Kwasababu yeye hacheui, japo kwato zake zimegawanyika. Sio kwamba kutajwa mwisho inampunguzia au kumwondolea unajisi hapana. Ila basi tu katajwa mwisho. Hayo yalikuwa ni maelekezo ya mwenyezi Mungu mwenyewe.
Ninyi waislamu, kwenye hilo kundi la wanyama najisi, kwanini Nguruwe tu? Ngamia anakuwa vipi halali kwenu? Au Mungu wenu na wetu ni tofauti?
Walitumia bakora za kuchungia kuukuma mizoga mashimoni.Hata Mizoga yao msiiguse, ni najisi kwenu sawa.Swali liko hapa
katika ngano za Biblia zinaonesha namna hao wanaoitwa watumishi wa Mungu waliokuwa matajiri walikuwa na mkusanyiko wa maelfu ya wanyama wafugwao hadi wanyama kazi mfano Farasi, Punda na Ngamia. Wale waliokuwa wanakufa walizikwa vipi ikiwa hawakuruhusiwa kugusa hata mizoga yao¿
Kwako mtumishi
kuzidi nguruwe?Ngamia ni mtamu sana
kuzidi nguruwe?
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)
Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni Ngamia. Kwa sababu ngamia hana kwato zilizogawanyika pande mbili japo anacheua (Walawi 11:4)
Kwenye Orodha ya wanyama najisi wasio faa kuliwa, nguruwe katajwa mwishoni. Kwasababu yeye hacheui, japo kwato zake zimegawanyika. Sio kwamba kutajwa mwisho inampunguzia au kumwondolea unajisi hapana. Ila basi tu katajwa mwisho. Hayo yalikuwa ni maelekezo ya mwenyezi Mungu mwenyewe.
Ninyi waislamu, kwenye hilo kundi la wanyama najisi, kwanini Nguruwe tu? Ngamia anakuwa vipi halali kwenu? Au Mungu wenu na wetu ni tofauti?
Haramu kwao ngurue alimla mtumeUnamaanisha nn?