Ndugu zangu wana Simba kwa heshima mliyoiletea nchi hii kwenye AFL jamaa zetu wana vikao vya kutuangamiza ijumaa

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jamaa zetu roho zinawauma sana, wanakaa vikao vya kila aina ili kutia mchanga pilau, wameumia sana kusikia Rais wa FIFA, CAF na Arsene Wenger watakuwepo siku hiyo wakimshuhudia Kibu Dennis akitengeneza soko nje ya nchi, siku hiyo dunia itamjua Kibu Dennis ni nani.

Jamaa wanakesha kuharibu mambo na wengine ni ndugu zetu kabisa kabisa ndani ya red, mm sizushi wala sipati faida yoyote, faida yangu mm ni kufurahi t ijumaa, sasa kama kuna watu wanapanga njana nisifurahi wafanye kama yale ya Raja nitafurahi vip, kwanini nisiseme kwa viongozi wangu wayachukulie kwa uzito haya ninayosema, wahakikishe Perrcy Tau cjui Alio Dieng sijui yule mborrusia Dortmund ni famba tu.

USM alger vibonde wa utopolo walimfunga kwenye charity shield sisi tushindwe kwann, enyi viongozi wangu tuchukue kila aina ya tahadhari, mdudu yoyote atakayethubutu kuingia habari zetu afe hapo hapo kwa kukauka.Ijumaa hatoki mtu.
 
Alaaa...kumbe!? Ndiyo maana wanaanzisha nyuzi hapa JF kila muda za kuisimanga Simba?Waruhusiwe kuingia uwanjani wakiwa wamevaa medali zao.Hamna namna!😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…