Ndugu zangu Wasabato leteni ushahidi wenu kamili unaojitosheleza na kuthibitisha Jumamosi mnayopumzika leo ndiyo ya sabato halisi ya kwenye torati?

Mabishano ya masuala ya kiimani hamuwezi kufika muafaka; kila mmoja anaamini lake
...
Pasaka kama wanavyosema ni sikukuu ya kusherehekea kufufuka kwa Yesu kristo
...
Pasaka=Jumapili
Jumapili=Siku baada ya Jumamosi
...
Biblia zote bila kujali ni version ipi zinasema Yesu alifufuka baada ya siku ya sabato
...
Jumapili=Pasaka
Jumapili=Siku baada ya sabato
Jumamosi=Siku kabla ya Jumapili
Jumamosi=Sabato
 
Kilichowafanye waiite jumamosi sabato ni kwa sababu ya kanisa katoliki kusherehekea pasaka jumapili siku ambayo Yesu Kristo alifufuka..according to Bible alifufuka siku ya kwanza ya juma maana yake siku iliyotangulia ndio ya mwisho yaani sabato..hawana wanachokijua
 
Kwa hiyo unabishana na Yesu aliyekuwa ananyofoa masuke ya ngano na kuwaambia watu kwamba hajaja kuibatilisha torati bali kuikamilisha iwe bora kwa kuwaambia amri iliyo kuu ni UPENDO?
“How much then is a man better than a sheep? Wherefore it is lawful to do well on the sabbath days. Then saith he to the man, Stretch forth thine hand. And he stretched it forth; and it was restored whole, like as the other.”
‭‭Matthew‬ ‭12‬:‭12‬-‭13‬ ‭KJV‬‬
Ni vizuri kutenda mema siku ya sabato
Elewa context ya Biblia.
Ni siku ya kumuabudu Mungu na kufanya mema kwa binadamu lolote linalomuinua binadamu katika shida aliyonayo siku ya sabato ni sehemu ya ibada isipocuwa secular work and entertainments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…