Ndugu zangu watanzania Luís Miquissone ametakaswa Zanzibar, kazi mnayo

Naona vyura,wanatema mate wamepata kichefu chefu...
Ila na ww na story zako bana.. 😆 😆
Mpaka wenye akili mbili fc wanajikuta wana akili...
Wale waliombeba Okra kwny sanduku leo wanajiona wana akili...eti magic😆🐸
Hii kali kuliko kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…