Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.

Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
ahsante ndugu ushauri wako nitaufanyia kz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.

Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
Samaki wabichi?
 
Ahsante sana kwa ushauri na maelezo ulionipa ndugu nitaufania kazi.barikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndugu dr.alinificha ingawa aliniambia amount sikujua kwamba hicho amount ya m.8 ni kidogo cha ajabu kamwita wife chemba kamwambia hiyo situation nakamwambia asiniambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dokta ni mpuuzi tu, Kwanini anakuficha ilihali mmeenda kwa hiyari yenu kupima afya zenu
 
sina cha kusema ila pole sana mkuu. hilo swala ni zito sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…