Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

thank you.i got your point where can i get this service.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula asali mbichi, Karanga mbichi, korosho, ugali Dona, pweZa, tikiti maji, tangawizi, mihogo mibichi, kitunguu swaumu, tende na harua. Tatizo litapona
 
ndugu dr.alinificha ingawa aliniambia amount sikujua kwamba hicho amount ya m.8 ni kidogo cha ajabu kamwita wife chemba kamwambia hiyo situation nakamwambia asiniambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dr. Muhuni na msengerema kama wangese wengine...

piga chini majibu yake ibuka kwa dr mwingine kwa uchunguzi zaidi...

vipo vitu zaidi ya vitatu vya kujadili na dr kuhusu sperms zako.

kuwa na sperm count 8mil ila zenye mortility rate ya kufa mtu ni zaidi ya kuwa na sperm 30mil zenye mortility rate o na blunt heads.

kwann majibu ayatoe kwa mke na kumwambia asikuambie?

Nisaidie mwonekano wa mkeo na umri wa dr muliyemuona...nahisi dr kamtamani mkeo anataka akuchapie
huyu dr ni kanjanja na mchumia tumbo asiyefuata ethics za kazi yake.HAFAI NA HAIFAI JAMII

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Amina na asante ......kwatatizo lolote la kiafya jus ni PM , km naweza kukusaidia moja kwamoja nitafanya ,,km niushauri tu nitafanya ...kazi zawito hizi ndugu.[emoji119] [emoji120] [emoji23] [emoji23]
Mkuu natilia shaka taaluma ya dr huyu aliyempa majibu shemejibyetu ilhali walienda mtu na mkewe na bado akasisitiza mke asimwambie mume kuwa ana matatizo ya mbegu zake...

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Tumia dawa kutokana na ushauri wa daktari. Ushauri wangu na utakaokusaidia wakudumu ni kuzingatia chakula Bora. Chakula bora na maji ndio tiba pekee ya gharama nafuu ndani ya miili yetu. Pia punguza mawazo, epuka vilevi km pombe kwani najua kipindi hiki kigumu ulichonacho utakua mtumiaji mzuri ili kupunguza mawazo. Kumbuka madawa yote yakitumika isivyo ni madawa ya kulevya
 
Ni kweli

*You get what you work for not What you wish for*
 
Mkuu natilia shaka taaluma ya dr huyu aliyempa majibu shemejibyetu ilhali walienda mtu na mkewe na bado akasisitiza mke asimwambie mume kuwa ana matatizo ya mbegu zake...

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Yaah nahis huyu Dr atakua nimzenguaji ,,nakwann majibu ampe mkewe nasio jamaa ????? Nakwann amuambie asimuambie mumewe ??????.

Minadhan pia huyu Dr kutakua kunakiti...

Huyu mwenye tatizo anapaswa aende kupima hospital nyingine .....

Nasijui ivo vipimo alivichukuaje ,,,,maana navyojua mbegu za mume lazima zichukuliwe kwa ujazo fulan kisha waangalie ujazo wa semen na sperm zake..

Sasa km Diagnosis ni semen zako ,,alafu majibu usipewe wewe apewe mkewe ????? Hahahah DR anampango na mke wajamaa.
 
Kula sana vyakula vyenye zinc....

Dr alipaswa pia akupe dawa

Ukiweza tafuta na fertille aid for men

Macca nayo mwake mwake

Kikubwa mlo

Gooole vyakula.vya kuboost sperm

Ila kiukweli uwe mvumilivu...ingawa mil 8 sio mbaya...your almost there
 
Mbona, tunafundishwa mbegumoja tuu inaenda kufanya mtoo na zikienda mbili basi mapacha.
Sasa wewe milioni nanembona nyingi sana ndugu, hiyo si zaidi hata ya idadi ya mayai alonayo mkeo ??
Hebu fikiria mbegu mojainafanya mtoto sasa milioni nane ,,, watoto wangapi hapo. Si watu wote wa Mbeya hao. Au wa Mwanza.

Nina shaka na hii habati,
Kwanza hizo mbegu kazipataje akajuwa ziiko mil 8, kuna kidude cha kuhesabu?
Na jee mili 8 chache inamaana zinatakiwa ngapi ili zitoshe
Standard zinakuwa ngapi ??
Nifafanulie
 
ndo hapo sasa mahali naon ni mpuuzi sana halafu ni mwanaume sasa.lkn vichwa na mikia viko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…