Mbona, tunafundishwa mbegumoja tuu inaenda kufanya mtoo na zikienda mbili basi mapacha.
Sasa wewe milioni nanembona nyingi sana ndugu, hiyo si zaidi hata ya idadi ya mayai alonayo mkeo ??
Hebu fikiria mbegu mojainafanya mtoto sasa milioni nane ,,, watoto wangapi hapo. Si watu wote wa Mbeya hao. Au wa Mwanza.
Nina shaka na hii habati,
Kwanza hizo mbegu kazipataje akajuwa ziiko mil 8, kuna kidude cha kuhesabu?
Na jee mili 8 chache inamaana zinatakiwa ngapi ili zitoshe
Standard zinakuwa ngapi ??
Nifafanulie