Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Sijataja pesa nimekwambia Sperm zako si umeambia zipo Nilioni 8? ukitumia dawa yangu zitazidi Sperm zako zaidi ya Milioni 8.dah kiasi cha hela ulilotaja hapo inaemdana na idadi tatizo lenyewe mzizi mkavu
Sent using Jamii Forums mobile app
huko siko kabisa nduguKama una smoke na kunywa vilevi acha mara moja...pili angalia vyakula unavyokula
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru ndugu barikiwe sana umenipa matumainipole na usivunjike moyo na mabazaz ya aina hii !tafuta tiba na ule vizuri mbn utapona ! nimeishi na watu wanaohangaika kutafta watoto ilifikia kipindi nasema Ee Mungu uzaz wangu huu wa simbilisi hamishia kwa huyu dada !huwa naumia mnooo nikiskia mwenzangu anatafuta mtoto !UTAPONA
ahsante ndugu ndugu nitafanya hivyoNakushauri tafuta dr mwingine make sure ni specialist wa maswala ya uzazi
Sent using Jamii Forums mobile app
samahani ndugu c unajua kunakupanicSijataja pesa nimekwambia Sperm zako si umeambia zipo Nilioni 8? ukitumia dawa yangu zitazidi Sperm zako zaidi ya Milioni 8.
Huyo dr aliyekuambia una low sperm hakukuambia dawa?,au hutaki kumwamini uje uamini dawa za mitandaoni?Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsanta kwa ushauri wako nitauzingatia nduguAtumie tikiti maji kwa wingi ale na mbegu zake,karanga kwa sana ,asali Mbichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipiga puli mbele ya daktari
Kuna Dr mmoja hatari sana wa hizo mambo namba zake ni0712505049Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
ama kweli Mungu azipunguze hesabu za watu kama hawa wanaoshabikia matatizo ya watu wengineAlipiga puli mbele ya daktari
Tafuta supplement zenye madini ya zinc kwa wingi zitakusaidia. Chinese traditional medicine zipo vyema pia katika kuboost sperm count na sperm quality. Nliwah kupata mgonjwa wa ishu kama yako, so tatzo linatibika kabisa.Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru ndugu nitaufanyia kzTafuta supplement zenye madini ya zinc kwa wingi zitakusaidia. Chinese traditional medicine zipo vyema pia katika kuboost sperm count na sperm quality. Nliwah kupata mgonjwa wa ishu kama yako, so tatzo linatibika kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
NENDA HOSPITALI NYINGINE USIONGOZANE NA WIFE KAPIME AU IKIWEZEKANA MTAFUTE PROF MAJINGE DCMC DODOMA KWA UHAKIKA WA VIPIMO NA MATIBABU MURUA YENYE MAFANIKIOkidogo nalimwona wa ajabu maana hakunipa majibu kamili alipindisha maelezo hatima anamwambia wife mzee wako hana uwezo wakuzalisha ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app