Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Piga mbegu za maboga au unga wake chukua mlonge mdarasini na asali mbichi changanya kunywa then uje utoe majibu yako. pia tende na maziwa ya mbuzi unaloweka unakula siku inayofuata huna haja ya koroga kingine acha kula chips gonga donaNi matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanachanganya hapa.
ahsante sana nduguPiga mbegu za maboga au unga wake chukua mlonge mdarasini na asali mbichi changanya kunywa then uje utoe majibu yako. pia tende na maziwa ya mbuzi unaloweka unakula siku inayofuata huna haja ya koroga kingine acha kula chips gonga dona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
mjr95Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.
Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
Ukipona leta mrejesho