Ndugu zanguni!

Ndugu zanguni!

Starehe Kitandani

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
676
Reaction score
342
Habarini Ndugu zanguni member wote wa Jf
Mi ni mgeni wenu hapa jukwaani!
Msinitenge na pale ninapokwama naombeni mwongozo!
Mi na LiverpoolFC ni Ndugu moja!

Asanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Starehe Kitandani na hakika utajisikia kama uko nyumbani Best wangu!

JF NDIYO KILA KITU KAMANDA NA MAMBO YA FACEBOOK ACHANA NAYO.

Karibu sana!

Habarini Ndugu zanguni member wote wa Jf
Mi ni mgeni wenu hapa jukwaani!
Msinitenge na pale ninapokwama naombeni mwongozo!
Mi na LiverpoolFC ni Ndugu moja!

Asanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom