Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Ila usisahau Kuna upande ambao no wazalendo wanaoangalia maslahi,wanayoamini kwa nisawa,japo wengine waweza kuwa wanatetea maslahi wasiyoyajua vema.Walikuwepo wafuasi wa CCM Kikwete akina FaizaFoxy , Undertaker et al hawa rasmi walikoma mwaka 2015 sababu zilizowafanya wakome kuwa watetezi wa CCM ni uongozi mpya uliokuja. Ulikuwa tofauti kiitikadi na wao...
Yawezekana wamesomeshwa namba za kibongo.Ritz, Nyani ngabu, jingalao, Lizabon, kupata kipya, N. K wote wamepauka sasaivi
Lizaboni anamalizia PhD Ulaya.Lizabon na Jingalao sijui nini kiliwapata walikuwa wanaongea mpaka mishipa ya shingo ina wasimama
Walikuwepo wafuasi wa CCM Kikwete akina FaizaFoxy , Undertaker et al hawa rasmi walikoma mwaka 2015 sababu zilizowafanya wakome kuwa watetezi wa CCM ni uongozi mpya uliokuja. Ulikuwa tofauti kiitikadi na wao.
Wakaibuka akina Mmawia , Bia yetu Kawe Alumni jingalao n.k hawa nao wakajiambatanisha na CCM hii ya Magufuli kwa sababu ya mfanano wa Itikadi,kabila n.k tunaamini 2025 nao watapotea wataibuka wanufaika wapya wa CCM hiyo na pengine watarudi wale wa 2005- 2015.
Chadema watu wake kwa asilimia 80 wamebaki ni wale wale ukiondoa waliondoka na Dr. Slaa na waliokuja na Lowassa na wengine pia wakaondoka naye.
Ukichunguza utagundua. Its all about maslahi. Nani anapata keki awamu hii na nani anakosa...
TramadolRitz, Nyani ngabu, jingalao, Lizabon, kupata kipya, N. K wote wamepauka sasaivi
Hiyo phd anaisoma kwa kingereza au kisukuma ?Lizaboni anamalizia PhD Ulaya.
Kimachame.
Asije akarudi hapa halafu hajui kuongea kiingereza kama mekoKimachame.
Hii habari ni kama vile iko hewani!!!Wote hao wamemfuata mkapa buriani!tena wanajiandaa kumpokea mama wa jiwe halafu kwa mbaali watamsubiria jiwe ambae hakatizi miaka mitatu mbele!!!hii ndio KARMA!!