Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Kwema, kwanza salamu mtumwa..
Hawa Mbeya City washuke tu daraja,yaani Yanga imekuonea huruma, imekupangia kikosi cha ajabu sana, mwisho wa siku unafanya upumbavu? Eti Mbeya City nao Waarabu, hiiii..hiiiii kwanza nicheke.
Ushapata goli 3 rudisha timu nyuma wote wakabe, hakuna kushambulia tena. Sasa unajifanya kushindana na Yanga waliotoka kucheza mechi za kimataifa?!
Kwanzia wachezaji wote mpaka benchi la ufundi akili hakuna, Yanga sio ya kushindana nayo kwa sasa.
Na iwe funzo kwa timu zote bongo!