Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Swala halikuwa goli nyingi, Bali kujifanya wajuwaji wakati wanajuwa wazi lengo la Yanga leo lilikuwa ni kuwabeba wao wasishuke daraja.Wamewekewa hadi kipa namba 3 , wakataka waidharirishe yanga kwa goli nyingi hapo ndio waliharibu
Swala halikuwa goli nyingi, Bali kujifanya wajuwaji wakati wanajuwa wazi lengo la Yanga leo lilikuwa ni kuwabeba wao wasishuke daraja.
Tumewahi kuwasaidia Simba pia isishuke daraja mwaka 1988 kama sikosei tukakubali kupoteza mechi ya mwisho na Simba mbovu ili wenzetu wabaki ligi daraja la kwanza enzi hizo.
Kilichowaponza Mbeya City leo ni tabia ya waswahili ni bora umfadhiri mbuzi akikuuzi utamchinja unywe supu na nyama choma.
Hii ni warning kwa Watoto wote wasiokuwa na adabu kwa wakubwa.
Washuke daraja tu mbwa hao.
Tumewafundisha adabu, na washuke daraja tu mbwa hawa, tumewabeba lakini hawabebeki.Kwema, kwanza salamu mtumwa..
Hawa Mbeya City washuke tu daraja,yaani Yanga imekuonea huruma, imekupangia kikosi cha ajabu sana, mwisho wa siku unafanya upumbavu? Eti Mbeya City nao Waarabu, hiiii..hiiiii kwanza nicheke.
Ushapata goli 3 rudisha timu nyuma wote wakabe, hakuna kushambulia tena. Sasa unajifanya kushindana na Yanga waliotoka kucheza mechi za kimataifa?!
Kwanzia wachezaji wote mpaka benchi la ufundi akili hakuna, Yanga sio ya kushindana nayo kwa sasa.
Na iwe funzo kwa timu zote bongo!
Mbeya walipewa hii mechi washinde ila ujinga wao tuuWamewekewa hadi kipa namba 3 , wakataka waidharirishe yanga kwa goli nyingi hapo ndio waliharibu
Akili hakunaKweli walivopiga mbili wangevunga kupack basi lakini wakaanza kukazana zaidi
Siku zote mabrother wako peace kwa madogo ila hivi vitoto ndo vinazinguaTumewafundisha adabu, na washuke daraja tu mbwa hawa, tumewabeba lakini hawabebeki.
Ni vijifunzeSwala halikuwa goli nyingi, Bali kujifanya wajuwaji wakati wanajuwa wazi lengo la Yanga leo lilikuwa ni kuwabeba wao wasishuke daraja.
Tumewahi kuwasaidia Simba pia isishuke daraja mwaka 1988 kama sikosei tukakubali kupoteza mechi ya mwisho na Simba mbovu ili wenzetu wabaki ligi daraja la kwanza enzi hizo.
Kilichowaponza Mbeya City leo ni tabia ya waswahili ni bora umfadhiri mbuzi akikuuzi utamchinja unywe supu na nyama choma.
Hii ni warning kwa Watoto wote wasiokuwa na adabu kwa wakubwa.
Washuke daraja tu mbwa hao.
Dawa yao ni hii, Mwana ukome au mama mkanye mwanao.Siku zote mabrother wako peace kwa madogo ila hivi vitoto ndo vinazingua
Unaonyesha dhahiri unavyoteseka na kuumiaWashabiki wa yanga ukiangalia nyuzi zao unaona kabisa wana upungufu sana wa akili.... et match ya leo walitaka kumwachia mbeya city... mipumbavu nyie... mumwachie kwa mipango gani mliyowekeana... ni kwamba kila upande ulienda kushindana na kupata kile wachoshindania...na kwa taarifa yen mbeya city hashuki daraja bado ana nafasi kubwa ya kuendnlea....
Siyo kukubali kupoteza mechi ya mwisho tu. Mechi yenyewe ya mwisho ilikua ni dhidi ya Simba iliyokua dhaifu na pia Yanga ilihitaji kushinda mechi ile ili ichukue ubingwa.Swala halikuwa goli nyingi, Bali kujifanya wajuwaji wakati wanajuwa wazi lengo la Yanga leo lilikuwa ni kuwabeba wao wasishuke daraja.
Tumewahi kuwasaidia Simba pia isishuke daraja mwaka 1988 kama sikosei tukakubali kupoteza mechi ya mwisho na Simba mbovu ili wenzetu wabaki ligi daraja la kwanza enzi hizo.
Kilichowaponza Mbeya City leo ni tabia ya waswahili ni bora umfadhiri mbuzi akikuuzi utamchinja unywe supu na nyama choma.
Hii ni warning kwa Watoto wote wasiokuwa na adabu kwa wakubwa.
Washuke daraja tu mbwa hao.
Tu Anashuka daraja sasa tu upendo tu usipende:nyie wa mbeya nendeni mkahubiri injili hukoWashabiki wa yanga ukiangalia nyuzi zao unaona kabisa wana upungufu sana wa akili.... et match ya leo walitaka kumwachia mbeya city... mipumbavu nyie... mumwachie kwa mipango gani mliyowekeana... ni kwamba kila upande ulienda kushindana na kupata kile wachoshindania...na kwa taarifa yen mbeya city hashuki daraja bado ana nafasi kubwa ya kuendnlea....
sawa mwaisa!! ila kumbuka kuhubili na Mira zote ni fani zetu! ukiondoa dar es salaam, mbeya ndo mkoa wenye uwezo m kubwa kimpira..... huwa inawakilishwa na time zaidi ya mbili kila mwaka.... ila mbeya city haishuki darajaTu Anashuka daraja sasa tu upendo tu usipende:nyie wa mbeya nendeni mkahubiri injili huko