technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wabaki huko mpaka korona iishe!
Please Serikali iwasaidie ndugu zetu zaidi ya 400 waliokwama India wanataka kuja nyumbani.
Ubalozi wa India utoe ushirikiano wa kutosa watu mpaka wanalia hali ngumu walipo wanaogopa kwamba hawapo salama.
Wapo wanafunzi, wagonjwa walioenda kutibiwa, wafanyabiasha. Please Air Tanzania shughulikieni kibali shughulikieni ndugu zetu haya ndio majukumu yenu.
Kenya wameweza kuwachukua watu wao china.
Gwajima anakwambia corona ile yenyewe yenyeweLengo lako corona ya india ije Tanzania au?
Kwani ubalozi haujui watanzania wapo huko?Mbona unatoa taarifa nusu nusu, Je, wamekwenda Ubalozi wetu kuomba msaada?
Je, wanachohitaji ni nini sasa msaada wa kusafirishwa kwa sababu hawana pesa au wamekwama kutumia ticket zao kwa sababu hakuna usafiri? Je, wanawasiliana na nani hivi sasa?
Kama wanawasiliana na wewe waambie wawasiliane na Balozi wetu aliyepo India.
Dada Wangari Maathai nakuona kwenye emoji comment za watanzania zinavo kuvunja mbavu
Atatuma ndege Madagascar kuchukua kikombe cha babu wa kule!Atatuma ndege...