Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanabodi,
Mbunge wa jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ametangaza rasmi kuwa hatagombea ubunge mwaka 2025.
Ndugulile amedokeza kuwa kwa sasa yupo mbioni kuanza majukumu yake kama Director wa WHO na atakuwa anawakilisha Waafrika zaidi ya Bilioni 1 kwenye nyanja za kimataifa.
Soma pia: Dkt. Ndugulile kujiuzulu ubunge Februari 2025 atakapothibitishwa rasmi kuwa Mkurungenzi mpya wa WHO-Afrika
"Mwaka 2025 Mheshimiwa Waziri Mkuu mimi sitaingia katika mchakato, nakutakia kila kheri kwenye mchakato kule Ruangwa. Niishukuru sana Serikali kwa kuniidhinisha na kunipendekeza kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika La Afya Duniani ukanda wa Afrika."
Aliongeza kwa kusema:
"Shirika la Afya Duniani lina kanda 6. Kwa kuchaguliwa kwangu hivi majuzi nakwenda kusimamia sekta ya afya katika nchi 47 na kuwakilisha Waafrika Bilioni 1 na nusu"
Based on what happened in 2020, je tutegemee Makonda atarudi tena kugombea kwenye jimbo hilo kama alivyovyafanya kwenye uchaguzi uliopita?