"Mwaka 2025 Mheshimiwa Waziri Mkuu mimi sitaingia katika mchakato, nakutakia kila kheri kwenye mchakato kule Ruangwa. Niishukuru sana Serikali kwa kuniidhinisha na kunipendekeza kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika La Afya Duniani ukanda wa Afrika."
Aliongeza kwa kusema:
"Shirika la Afya Duniani lina kanda 6. Kwa kuchaguliwa kwangu hivi majuzi nakwenda kusimamia sekta ya afya katika nchi 47 na kuwakilisha Waafrika Bilioni 1 na nusu"
Based on what happened in 2020, je tutegemee Makonda atarudi tena kugombea kwenye jimbo hilo kama alivyovyafanya kwenye uchaguzi uliopita?
Mbunge wa jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ametangaza rasmi kuwa hatagombea ubunge mwaka 2025.
Ndugulile amedokeza kuwa kwa sasa yupo mbioni kuanza majukumu yake kama Director wa WHO na atakuwa anawakilisha Waafrika zaidi ya Bilioni 1 kwenye nyanja za kimataifa.

Sidhani kama Makonda atajaribu tena kwani kama akienda kugombea na akashindwa sidhani kama atafikiriwa tena kuteuliwa itakuwa ndiyo amejiondoa mwenyewe kwenye mfumo.
Duuh jamani madaraka matamu aisee yaani hapo ameshakula shavu la Regional Director for the World Health Organization (WHO) African Region ila bado anataka tena kuwa mbunge na hata baadaye apewe tena Uwaziri.
Duuh Bongo bhana 😃