Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Jun 8, 2021 #1 Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo. Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja. Waziri amesema wanaandaa Sheria ya Data Protection ila kwa kipindi hiki cha mpito ameyataka makampuni ya simu kuweka mifumo imara.
Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo. Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja. Waziri amesema wanaandaa Sheria ya Data Protection ila kwa kipindi hiki cha mpito ameyataka makampuni ya simu kuweka mifumo imara.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 8, 2021 #2 ππππππ kageuza kauli!!!!
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Jun 8, 2021 #3 Kipindi Cha kayafa walikuwa kimya, Watanzania sio wajinga
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jun 8, 2021 #4 Hivi vikao vya bunge kipindi hiki havina tofauti na vikao vya vijiweni
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Jun 8, 2021 #5 Wao si ndio walikuwa wanalazimisha JAMII FORUMS itoe siri za wateja? Akili zimeanza kurudi nbaada ya aliyekuwa amezishikilia kutangulia kunako. Anzeni na waliovujisha Clip ya kina Makamba, Nape na wengine. Hao kwanza wawe mfano wa kuigwa.
Wao si ndio walikuwa wanalazimisha JAMII FORUMS itoe siri za wateja? Akili zimeanza kurudi nbaada ya aliyekuwa amezishikilia kutangulia kunako. Anzeni na waliovujisha Clip ya kina Makamba, Nape na wengine. Hao kwanza wawe mfano wa kuigwa.
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,685 Reaction score 3,552 Jun 8, 2021 #6 Evelyn Salt said: Hivi vikao vya bunge kipindi hiki havina tofauti na vikao vya vijiweni Click to expand... Tangu lini mchawai akawa na ajenda nzuri kwa mtoto wa jirani??
Evelyn Salt said: Hivi vikao vya bunge kipindi hiki havina tofauti na vikao vya vijiweni Click to expand... Tangu lini mchawai akawa na ajenda nzuri kwa mtoto wa jirani??