Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wenzetu wana design mifumo ya kwenda mars sisi tunatafuta mfumo wa kusikiliza simu za whatsapp.Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Faustine Ndugulile amesema ukiangalia simu zinazopigwa kwenda nje au kuingia kutoka nje zimepungua..
Kuna mambo ya kitaifa ya msingi ya kujadili kama Kutafuta soko la mahindi wanajadili WhatsApp!!
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hizi taasisi zimejaa wazee wenye mawazo ya miaka ya 47. Hovyo kabisa ndio maana mpaka leo hata vitu muhimu kama paypal yanazuia. Majinga majinga tu.
Yaanacha kuwaza mambo ya maana ya kuturahisishia maisha yenyewe kazi yao kutia ugumu.