Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Jamaa Ni mchimbachumvi tu .Binafsi namuona huyu Waziri kama mshamba, kiherehere na Mwenye kujipendekeza tu. Hana msaada wowote wa kitaalam ktk Wizara.
Yy ni kudhibiti tu. Haongelei Kasi ya Internet, connection ya Mkonga wa Taifa wa mawasiliano ktk familia (kama Kenya), nk.
Isitoshe kupiga au kupokea Whatsapp Call/Video lazima uwe na Bando. Kwa akili yake fupi sijui bando ni bure? "Eti mapato yameshuka" Yaani kwake mapato ni bora kuliko Tanzanians Welbeing. Nchi zote zina pambana kushusha gharama za maisha kwa raia wake.
Issue kubwa hapa ni mitandao zina mu expose Mkubwa! Ni namna tu ya kuzidi kudhibiti watu.
Hii lakini ni issue nyengine na Serikali wapo sahihi.Google walikubali na wako kwenye mazungumzo (possibly wamemshakubaliana) na kampuni za habari Australia wawalipe. FB walitingisha kiberiti waka backoff.
Nadhani waliona local innovation na innovators wengine wanachukua soko wakaona heri wakubali shari iishe.
Uko sahihi. Nilikuwa namsahihisha mdau niliyemnukuu. Hizi Big Tech zimekuwa na nguvu na zipo mikononi mwa walevi wa madaraka. Kusipokuwa na regulation kwao zitageuka kuwa balaa na kutishia usalama wa nchiHii lakini ni issue nyengine na Serikali wapo sahihi.
Mfano Google unasearch lyrics pale pale kwenye search results wanakuletea matokeo ya lyrics mzima (wamecopy kwa mtu) wewe kama mtumiaji unasoma hujatembelea website ya mhusika aliehangaika kuziweka na wala humfaidishi kivyovyote mhusika, Google anafaidika hapa kwa kitu kisicho chake.
So wanachofanya Hawa jamaa iwe kwa Google News ama means nyengine wanatoa habari, na huduma nyengine bila kutolea jasho hivyo vitu then Wana bypass means za serikali kukusanya mapato kwao pamoja na kutowalipa wahusika.
Australia wameanza tu wengine soon watafuatia.
Inachekesha! Matusi, kejeli, utapeli unaoendelea unawahusu nini serikali? Waziri hana kazi kabisa!Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Faustine Ndugulile amesema ukiangalia simu zinazopigwa kwenda nje au kuingia kutoka nje zimepungua.
Amesema watu huzungumza na watu wa nje kupitia mitandao kama whatsapp, skype nk hivyo ni lazima serikali ichukue hatua kurekebisha hilo.
Waziri Ndugulile amesema pia wanaangalia mfumo wa kuwawezesha kujua yanayozungumzwa katika mtandao ili kubaini matusi kejeli na utapeli unaoendelea kwa njia ya simu na meseji.
Aidha mifumo mingine ni ya kuchuja ili mtu akiweka neno tofauti inaweza kulizuia ili kama ni sms isimfikie mlengwa.
Sera ya mgombea kwa wapigie kura wake ni waishi kama mashetani! Unategemea nini?Badala ya kufikiria na wao waalike wataalamu wa kutengeneza mfumo wa simu za bei chee wao wanawaza wapi pa kupata hela.
Dunia nzima inafurahia kila kukicha wabunifu walete ahueni kwa wananchi ila kwetu ni tofauti kabisa.
Hawa viongozi wangewekewa malengo kwa mwaka wameongeza nini kwa kuongeza ajira badala ya kuleta bla bla.
We fala una akili kweli? Au unatumia makalio kufikiri. Utaolewa humu JFHaina tofauti sana ila sababu wazo limetolewa na mbongo basi halina maana ila wangesema mizungu lingekua la maana.
Mataga wanataka kuturudisha kwenye zama za ujima, sijawahi kuona daktari wa ajabu kama ndungulile, huyu alitakiwa awe mganga wa kienyejiBaada ya leo taerhe 2-4-2021 Makampuni ya Simu yakiwa na nia ovu kupandisha bei za vifurushi na kufuta ofa zote.
Insemekana watu wanahamia kupiga simu kwa watsup, nako huko waziri anafanya mchakato watusp voice call ifungiwe hapa Tanganyika.
Magu alisema tutamkumbuka, nafikiri kuanzia leo tumeanza kumkumbuka.
MATAGA wameloa , maana hawaamini, walijua wapinzani pekee ndio wataadhirika na kupanda kwa bei.
Atembee na mavioo ya kuangalizia wateja wake nan mbaya waoMataga wanataka kuturudisha kwenye zama za ujima, sijawahi kuona daktari wa ajabu kama ndungulile, huyu alitakiwa awe mganga wa kienyeji