Ndulele au tura ni tiba ya asili ya nguvu za kiume

Ndulele au tura ni tiba ya asili ya nguvu za kiume

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1621272487463.png

Naam toa mti weka mti bila shaka huu mti unaitwa ndulelee au mtula tula ni mti mahalufu sana mti mdogo unamahajabu mwakubwa sana katk tiba za kiganga uwo tunaita mfichua au mwangaza ni atar sana leo nitatoa faida chache sana kwanza kabisa ww unao sumbuliwa na nguvu za kiume jogoo hapandi mtungi au unashindwa kuendelea tendo la ndoa chimba mizizi yake utaitoa magome yak na utatafunia na karanga mbichi mzizi mingine itenge pembeni iyoshe vizur tafuta mti unaitwa mkuyati na mdinda dinda aisee watakoma mbona.

Chemshia na huo mti tumia kunywa asubuhi na jion siku Saba utaleta mrejesho hapa sio ufanye sifa utamtoa mwenzio chango la kurudisha kizazi, nyuma Mana hivyo vigongo nilivyo kutajia ni hatari sana.

Na wewe unae sumbuliwa na, nenda katika mti huo chukua tunda Saba zilizo iva uchukue ukiwa uchi toboa weka chumvi ya mawe utatumia kuchoma kwajili ya kurudisha ubaya na mtu akikufanyia ubaya utarudi utaon habari yake ni hatari sana watakoma wanga wakeeeee.

Mnao sumbuliwa na miguu kuwaka Moto chimba mizizi yake na unguze upate usila mweus utatumia kuchanjia sehem zinazo uma au ganzi utaipata habar yake aisee ata likiwa tego litaondoka nasumbuliwa na mapenzi unatak kumrudisha mpenz tumia tunda zake na chumvi ya mawe kuchoma kwa manuiz yako unasumbuliwa na mikosi chukua majani yake na majani ya mbaazi majni ya mkunju na kamba za mlangamia twanga tumia kuogea siku Saba asubuhi na jioni
 
Hivi unajuaje Kama nguvu za kiume zimepungua je ukimwaga bao la Kwanza halafu jogoo akalala ndo maana yake una tatizo?
 
Kwa wale wanawake wanaosaga wenzao..wasagaji..chukua ndulele iliyoiva kamulia maji yake kwenye k ya msagaji...mpe show lazima ataacha usagaji...pia kumfikisha dem everest
NB: Nimepewa hayo maelezo na wadau wanapenda kuja kuchuma hapa kwangu ikabidi niwaulize..
 
View attachment 1788789
. mahalufu sana mti mdogo unamahajabu mwakubwa sana katk tiba za kiganga uwo tunaita mfichua au mwangaza ni atar sana leo nitatoa faida chache sana kwanza kabisa ww unao sumbuliwa na nguvu za kiume jogoo apandi mtungi au unashindwa kuendelea tendo la ndoa chimba mizizi yake utaitoa magome yak...
Kweli shule hizi mh!!!! Spell checks
 
Nikiwa Kilole au Manundu nakutana sana na wazee wa kisambaa wakitoa maelezo kama haya.

Huanza kuniuliza "Una nguvu za kiume za kutosha?"

"Hapana"

"Sasa kwanini nisikupe dawa mbwanga? Nina hii dawa ..."

Atatoa maelezo mwisho hua nawaambia "Mzee sina nguvu za kutosha kwakua sina hela nina mawazo"
 
Nikiwa Kilole au Manundu nakutana sana na wazee wa kisambaa wakitoa maelezo kama haya.

Huanza kuniuliza "Una nguvu za kiume za kutosha?"....
Uwedi mia?
 
Back
Top Bottom