Nduli maana yake nin kwa sasa?

Nduli maana yake nin kwa sasa?

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
Neno NDULI ,nimelisikia kwa mara ya kwanza ktk hotuba za mwl,Nyerere ,kwa kumtaja adui wa taifa kwa wakati ule.
Nduli idi Amini wa uganda.
hivi hili neno maana yake hasa ni nini?je ni neno la kiswahili au kizanaki.

mimi nashauri tuachane na neno fisadi tukimaanisha maadui wa taifa na uchumi wetu,

ITs time we call mafisadi kwa maneno makali na yenye kuvuta hisia halisi za enzi ya mwalimu
Eg, NDULI ....
NDULI ......
 
Eg, NDULI ROSTAM AZIZ
NDULI ......
Kwa kutumia neno nduli tunaondoa kabisa uzalendo wao na ubinadamu wao kama Nyerere alivyo uondoa ubinadamu wa Iddi Amini.
nakumbuka tukiwa shule neno Nduli lilitumika kwa mtu mbaya sana ambaye anaweza kula nyamba ya binadamu(kama ktk sinema ya iddi amini)

so from now on it should be NDULI RA

Maana ya NDULI ni shetani mkubwa, jinamizi, zimwi,thug n.k
 
kimasai inamaanisha TIGO, so watch out usimwite baba yeyo nduli.......
 
Back
Top Bottom