Nduli maana yake nin kwa sasa?

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
Neno NDULI ,nimelisikia kwa mara ya kwanza ktk hotuba za mwl,Nyerere ,kwa kumtaja adui wa taifa kwa wakati ule.
Nduli idi Amini wa uganda.
hivi hili neno maana yake hasa ni nini?je ni neno la kiswahili au kizanaki.

mimi nashauri tuachane na neno fisadi tukimaanisha maadui wa taifa na uchumi wetu,

ITs time we call mafisadi kwa maneno makali na yenye kuvuta hisia halisi za enzi ya mwalimu
Eg, NDULI ....
NDULI ......
 

Maana ya NDULI ni shetani mkubwa, jinamizi, zimwi,thug n.k
 
kimasai inamaanisha TIGO, so watch out usimwite baba yeyo nduli.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…