Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki:
Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri Akili yake inafanya kazi kweli?
Kitu kikubwa alichokifanya kwa hao wanamichezo? Au kuwatembelea paris ufaransa ndo jambo lake kubwa?
Anafahamu ushiriki wa michezo ya olimpiki na maandalizi yake?
Huyu waziri ni waziri wa ajabu kuliko mawaziri waliopita hapo.
Achunguzwe, inawezekana kuna rushwa mahali.Ndumbaro