Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Jina lenyewe tu unasikia ni NDUMBAro.Ndumbaro hajawah kuwa na akili timamu
Maajabu hayo.Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki:
Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri Akili yake inafanya kazi kweli?
Kitu kikubwa alichokifanya kwa hao wanamichezo? Au kuwatembelea paris ufaransa ndo jambo lake kubwa?
Anafahamu ushiriki wa michezo ya olimpiki na maandalizi yake?
Huyu waziri ni waziri wa ajabu kuliko mawaziri waliopita hapo.
Achunguzwe, inawezekana kuna rushwa mahali.Ndumbaro
Na yeye ndio Waziri wa Michezo haelewi hata Cha kufanya.Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki:
Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri Akili yake inafanya kazi kweli?
Kitu kikubwa alichokifanya kwa hao wanamichezo? Au kuwatembelea paris ufaransa ndo jambo lake kubwa?
Anafahamu ushiriki wa michezo ya olimpiki na maandalizi yake?
Huyu waziri ni waziri wa ajabu kuliko mawaziri waliopita hapo.
Achunguzwe, inawezekana kuna rushwa mahali.Ndumbaro
This stupid fuckers, we fucking know that, we don't need anyone keep telling us our problems, give us solution, we know it's crazy among 61M people we managed to have only 7 athletes, we got nothing from Paris, our question to you minister, what have you been doing to improve our sportsWaziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki:
Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri Akili yake inafanya kazi kweli?
Kitu kikubwa alichokifanya kwa hao wanamichezo? Au kuwatembelea paris ufaransa ndo jambo lake kubwa?
Anafahamu ushiriki wa michezo ya olimpiki na maandalizi yake?
Huyu waziri ni waziri wa ajabu kuliko mawaziri waliopita hapo.
Achunguzwe, inawezekana kuna rushwa mahali.Ndumbaro
Kwahiyo huyu kateuliwa kuwa waziri wa michezo aje kushangaa, Alitakiwa aliwe kichwa pamoja na ndugu yake wa Tanga mjini.Waziri mwenye dhamana na kiongozi wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Daktari Damas Ndumbaro anashangazwa na anasema ni aibu kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 60 kupeleka wanamichezo 7 Olimpiki:
Sasa, sisi wananchi na yeye waziri nani anayetakiwa kushangaa au kusikitika? Huyu waziri Akili yake inafanya kazi kweli?
Kitu kikubwa alichokifanya kwa hao wanamichezo? Au kuwatembelea paris ufaransa ndo jambo lake kubwa?
Anafahamu ushiriki wa michezo ya olimpiki na maandalizi yake?
Huyu waziri ni waziri wa ajabu kuliko mawaziri waliopita hapo.
Achunguzwe, inawezekana kuna rushwa mahali.Ndumbaro
Hajui michezo huyo ndumbaruuu ...bora yule mwanamke sijui katibu wa BMT anaweza uwaziriThis stupid fuckers, we fucking know that, we don't need anyone keep telling us our problems, give us solution, we know it's crazy among 61M people we managed to have only 7 athletes, we got nothing from Paris, our question to you minister, what have you been doing to improve our sports
Ndumbaru knows nothing ...bora wa tanga mjini amebase kwa sanaa na utamaduni...michezo waziri badoKwahiyo huyu kateuliwa kuwa waziri wa michezo aje kushangaa, Alitakiwa aliwe kichwa pamoja na ndugu yake wa Tanga mjini.