Ndumbaro una maslahi gani na Filbert Bayi?

Ndumbaro una maslahi gani na Filbert Bayi?

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Waziri Ndumbaro kwa nini huwapumzishi hawa wazee Filbert Bayi, Ghulam na Henry Tandau? wanaotafuna pesa za watanzania? Bayi anakula pesa za wanariadha , makocha na hata wanahabari ambao walitakiwa wapate scholarships mbalimbali, sasa toka afiki paris ufaransa ambapo alipelekwa na bayi yuko kimya tu. Je anamaslahi nae?

Viongozi wa Kamati ya olimpiki Tanzania na Olimpiki Afrika wameoza na wananuka rushwa.

Sasa waziri mwenye dhamana kwa nini yupo kimya? Amepewa malalamiko na wadau ofisini kwake kuhusu mwenendo mbaya wa TOC ila bado yupo kimya?

Soma Pia:

Je, nini kimejificha TOC?
 
Back
Top Bottom