Nachukua nafasi hii muhimu kumshukuru kwanza Muenyezi Mungu pili Mutengenezaji Wa hii software na ya kutuunganisha watanzania wote tulipo hapa duniani kote
Mwisho kabisha nawashukuru sana kwa kujiunga katika group hili naombeni ushirikiano
Mungu ibariki Tanzania,
Mingu ibariki Afrika