Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Ni ngumu sana kukuta mtu aliyewahi kupitia ,,near death experience” halafu maisha yake yasibadilike, watu wengi ambao hukaribia kufa au labda niseme hunusurika na kifo huwa ni wengine kabisa baada ya tukio, kwa mfano mtu akigongwa na gari na kupona huwa yuko tofauti na kabla ya tukio.
Sasa ukiona mtu amepitia ,,near death expereince” halafu yuko vile vile, yaani before and after hakuna kilichobadilika huwa kuna tatizo mahali, aidha kilichomtokea alikipanga au alikijua kabla mfano mwizi akishikwa na kuchomwa halafu akapona utashangaa anaendelea kuiba, ni kwa sababu alijua na alipanga, lkn kama ni jambo ambalo limemtokea tu bila ya kuwa na uelewa wowote wa kabla ya tukio, ni lazima akipona anatakuwa Binadamu mwingine kabisa, BTW nde ni science yake inayojitegemea, ...