Tatizo sio kompyuta bali software lakini pia hao wanadamu wanaoingiza data kwenye kompyuta speed yao ya kinyonga.
Tatizo siyo software wala Computer, matokeo yanacheleweshwa kwa makusudi ya kuchezea na kuiba kura. Full stop.Tatizo sio kompyuta bali software lakini pia hao wanadamu wanaoingiza data kwenye kompyuta speed yao ya kinyonga.