Zanzibar 2020 NEC imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed Shamis kuwa mgombea wa Ubunge Chakechake

Zanzibar 2020 NEC imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed Shamis kuwa mgombea wa Ubunge Chakechake

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200826-221800.png

HABARI Tume ya taifa ya uchaguzi imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed shamis kuwa mgombea Ubunge jimbo la Chakechake Pemba.
 
Sasa hii nayo nihabari ya ccm kumpitisha ccm mwenzao Pemba?.
 
Safi sana,hiyo inaonyesha ni jinsi gani tume ilivyokuwa huru na yahaki sawa kwa vyama vyote.
Ongera sana CUF.Ongera katibu mkuu.
 
Back
Top Bottom