Uchaguzi 2020 NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais

Uchaguzi 2020 NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hamida Abdallah Huweishi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia chama cha CUF.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba(CUF)

Lipumba.jpg
 
Safi sana akunamtu wa kuonewa,haki sawa kwa wote.tukutane ulingoni October 2020.
 
Hivi ina maana wewe tu ndio unatosha kugombea Uraisi huko ndani ya CUF. Umegombea kama ifuatavyo

1995 - Wewe na Mkapa
2000- Wewe na mkapa
2005 - Wewe na Kikwete
2010 - Wewe na Kiwete
2015 - Hukugombea ulijiuzulu siasa
2020 - Unagombea tena na JPM

Je, this time around unahisi utakuwa Raisi wa JMT?
 
Kwenye mchezo wa ngumi kuna dude linaitwa punching bag...hili ni fuko la kujifunzia ngumi ...lipo tu , watu wanakuja wanajifunza kupigana kwa kulitandika magumi na mateke kisha wanaenda huko wanashinda wanachukua sifa maisha yanaendelea tuu...LENYEWE LIPO TUU...!!!
 
Katumwa huyo mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah
 
Back
Top Bottom