Uchaguzi 2020 NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Safi sana akunamtu wa kuonewa,haki sawa kwa wote.tukutane ulingoni October 2020.
 
Hivi ina maana wewe tu ndio unatosha kugombea Uraisi huko ndani ya CUF. Umegombea kama ifuatavyo

1995 - Wewe na Mkapa
2000- Wewe na mkapa
2005 - Wewe na Kikwete
2010 - Wewe na Kiwete
2015 - Hukugombea ulijiuzulu siasa
2020 - Unagombea tena na JPM

Je, this time around unahisi utakuwa Raisi wa JMT?
 
Kwenye mchezo wa ngumi kuna dude linaitwa punching bag...hili ni fuko la kujifunzia ngumi ...lipo tu , watu wanakuja wanajifunza kupigana kwa kulitandika magumi na mateke kisha wanaenda huko wanashinda wanachukua sifa maisha yanaendelea tuu...LENYEWE LIPO TUU...!!!
 
Katumwa huyo mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…