Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,599 Reaction score 9,532 Aug 25, 2020 #1 Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Yeremia Kulwa Maganja, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Haji Ambar kuwa Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi.
frenk julius JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 377 Reaction score 242 Aug 25, 2020 #2 Sasa huyu naye c ndo kupotzeana mda tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Aug 25, 2020 #3 Safi
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Aug 25, 2020 #4 frenk julius said: Sasa huyu naye c ndo kupotzeana mda tu Click to expand... Eti wameamua kuweka Wagomea kibao ili kuonyesha kuwa TZ ina demokrasia. Target ni Tundu Lissu.
frenk julius said: Sasa huyu naye c ndo kupotzeana mda tu Click to expand... Eti wameamua kuweka Wagomea kibao ili kuonyesha kuwa TZ ina demokrasia. Target ni Tundu Lissu.