Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Wadau.
Nimeona Watumishi wa Serikali kwa asilimia kubwa ndiyo wasimamizi wa Uchuguzi Mkuu 2020. Hawa tayari wana ajira na juzi tu wamepata mshahara.
Kwa nini vijana walio mtaani (graduates) wasingepewa hili jukumu la kusimamia uchaguzi huu mkuu? Maana wapo tu mtaani hawana maisha.
Wazo tu.