Uchaguzi 2020 NEC lindeni heshima kidogo ya Tanzania iliyobaki. Kwa sasa zingatieni mambo makubwa mawili

Hivi rufaa zikefikia wapi au zimetupwa kabisa, nilisikia zitasikilizwa jumatatu, leo jumanne, nini kinaendelea?!
 
Hivi rufaa zikefikia wapi au zimetupwa kabisa, nilisikia zitasikilizwa jumatatu, leo jumanne, nini kinaendelea?!
Wanakusanya taarifa za kiintelijisia na kusubiri maelekezo. Eti Pemba wanataka CCM ishinde bila kupingwa.Duh.
 
Dah Nawaone huruma sana BAVICHA MSHANGANYIKIWA
 
Wakina IGP Sirro wanaona fahari kutisha watu na NEC wanajisikia furaha kutangaza wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa kwa hila wakiamini wanasaidia Amani ya nchi yetu.
 
Mimi sio keyboard warrior wewe kama ikitokea ntajitolea kuchapa viboard warrior wa humu
 
NEC ni sikio la kufa wao wapo kwa ajiri ya kutekeleza maagizo ya magufuli na ccm.....

Ngoja tukinukishe tu maana sasa tumechoka
 
NEC wanafanya kazi kwa mashinikizo makubwa! Tuwaonee huruma. Hata hayo mapingamizi yanayaangalia tu hawana mamlaka wanasubiri maelekezo.
Hakuna cha kuwaonea huruma.
Uhalifu ni uhalifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…