Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Acha uzezeta wewe!Hivi mkuuuu..! Unaweza kumchukulia hatua gani Rais wa nchi ambaye pia ndiye bosi wako?? Mbona mnapenda kuzua hoja zenye majibu ya kutumia "logic" tu?
nimepaniki kwakweli[emoji2955]
Hapa sina mbavu......π€£π€£π€£π€£π€£!!Wakati yule mgombea wa CCM akiwa kanda ya ziwa,sheria ilikuwa haijatungwa
Tuna kila sababu ya kuondokana na uongozi huu mbovu!Wakati yule mgombea wa CCM akiwa kanda ya ziwa,sheria ilikuwa haijatungwa
NEC watakwambia wao huact based on malalamiko rasmi yanayopelekwa kwao kwa maandishi kutoka kwa wagombea wengine.Wakati yule mgombea wa CCM akiwa kanda ya ziwa,sheria ilikuwa haijatungwa
Ni kweli kabisa , lakini eeeh , unajua sisi Tume hatufanyi kazi na mitandao πππ
Hayo ndo huwa tunasema yanawezekana ONLY IN TANZANIA!NEC watakwambia wao huact based on malalamiko rasmi yanayopelekwa kwao kwa maandishi kutoka kwa wagombea wengine.
As long as hakuna aliyesubmit malalamiko, wao hawawezi kufanyia kazi kitu ambacho hakipo
Kwa watu wanajielewa huwa wanajiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu....kwa lugha rahisi ni kwa kutowajibika.Hivi mkuuuu..! Unaweza kumchukulia hatua gani Rais wa nchi ambaye pia ndiye bosi wako?? Mbona mnapenda kuzua hoja zenye majibu ya kutumia "logic" tu?
nimepaniki kwakweli[emoji2955]