Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao wanaruhusiwa kuingia vituoni kwa madhumuni ya kupiga kura tu.

Ramli chonganishiWataingia na watatoa maamuzi yakijinga we ngoja tu utaona!
Hamna ubavu wa kuleta fujo,acheni kuwa weka watanzania roho juu,tutawapiga kwenye sanduku la kura na mkiandamana tunwatwanga,Tume pangeni mbinu za kijinga tu,yaani mnafanya hivyo tuone mpo imara,hatuangalii nani kaingia nani katoka tunahitaji kuona vifaa vya kituo vyote vinafika kwa wakati ,upigaji kura na uhisabu unakuwa wawazi ,uhakika wa kuwepo kwa mawakala wote hatutaki kusikia ,ala katekwa,wakala hajafika na zaidi hatutaki kusikia malalamiko jina langu au lake halipo kwenye kituo au kumwambia mpiga kura jina lako lipo kituo kilee cha kulee. Kinyume cha hayo ni kuanzisha viashiria na kuamsha fujo.
Sisi Chadema hatukubaliani na hili na tunataka Tume watupatie majibu ndani ya saa 24 ni kwanini RC na DC wasishuhudie upigaji kura. Vinginevyo wasipowaruhusu kuingia vituoni hatutapiga kura kwani hii ni mbinu ya kutaka kutuibia kuraTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao wanaruhusiwa kuingia vituoni kwa madhumuni ya kupiga kura tu.
Hiyo zamani dadaHamna ubavu wa kuleta fujo,acheni kuwa weka watanzania roho juu,tutawapiga kwenye sanduku la kura na mkiandamana tunwatwanga,
Ova
Wala hatuandamani ,ikiwa DC au RC ataingia na kutumia mamlaka yake vibaya ndani ya kituo cha uchaguzi...huyu tunamzalisha watoto mapacha wala hatuangalii jinsia yake.Chadema wataandamana
Hata wasipoingia si watatoa maelekezo kwa njia ya simu, tofauti nini?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao wanaruhusiwa kuingia vituoni kwa madhumuni ya kupiga kura tu.