Uchaguzi 2020 NEC: Mawaziri, RC, DC na Viongozi wa Serikali hawaruhusiwi kuingia vituoni

Wameshaweka watu wao mbadala wa madc na marc. Ni hatua nzuri lakini Bado NEC hawaminiki sana
 
NEC wanataka tu UN iwasikie wakati UN wenyewe wanangalia matendo tu.

Ninchokijua tu ni kwamba kuna tofauti ndogo sana ( Kiduchu ) ya 'Kimahusiano' katika ya CEN na MCC au MCC na CEN katika nchi hii ya Tanzania.
 
Ninchokijua tu ni kwamba kuna tofauti ndogo sana ( Kiduchu ) ya 'Kimahusiano' katika ya CEN na MCC au MCC na CEN katika nchi hii ya Tanzania.
Gentamycine unanipoteza hebu fafanua hizo neumonics. Si unajua we ni akili kubwa!
 
Gentamycine unanipoteza hebu fafanua hizo neumonics. Si unajua we ni akili kubwa!

Katika wenye 'Akili Kubwa' nami utaniweka Mkuu? Mimi ni 'Popoma' tu na nitabaki na huu huu 'Upopoma' wangu ambao 'Umenitukuka' ile mbaya.
 
Kwa hiyo mkurugenzi anatuamjia tukiwaona kwenye vituo vya kura na tukajiridhisha kwamba walishapiga kura tuwashambulie?
 
Hapa tu ndipo palipo toa mwanya mmbaya kwa hawa Watawala kufanya yao ,leo hii ni nani mwenye uwezo wa kumsimamia Mkuu wa Mkoa kuwa apige kura na aondoke kwa wakati !?..

Hawa wote wanaabudiwa na hao Polis waliopewa jukumu la kuhakikisha Sheria zina fuatwa ,ni mchanganyo usiofaa.
 
Sisi Chadema hatukubaliani na hili na tunataka Tume watupatie majibu ndani ya saa 24 ni kwanini RC na DC wasishuhudie upigaji kura. Vinginevyo wasipowaruhusu kuingia vituoni hatutapiga kura kwani hii ni mbinu ya kutaka kutuibia kura
Bange zinakusumbua
 
Katika wenye 'Akili Kubwa' nami utaniweka Mkuu? Mimi ni 'Popoma' tu na nitabaki na huu huu 'Upopoma' wangu ambao 'Umenitukuka' ile mbaya.

Nakazia, wewe ni popoma mwandamizi na unajivunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…