Elections 2010 NEC mnataka Tanzania igeuke kuwa Bagdad??.

Mtoka Mbali

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
237
Reaction score
26
Haiwezekani hapa Arusha pamoja na CHADEMA kushinda kiti cha ubunge, madiwani nao pia ni wa kumwaga alafu eti Kikwete anaongoza kwa kura. Hivi hawa CCM na NEC watufanya sisi watanzania wapumbavu. Siongei kwa ubaya ila hata NEC Arusha ni wa kuwajibishwa maana walitaka kumuhonga Mh Lema ila washukuriwe Mh Ndesamburo na Mh Mbowe waliokataa hongo hiyo baada ya kuwasili eneo la tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…