Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Chadema wamedai kuwa takwimu za kitaalamu zinaonyesha wapigakura wapo milioni kumi na sita lakini daftari laonyesha milioni kumi na tisa.
Hivyo kuna karibu milioni tatu ambazo huenda zimeongezwa kwa makusudi na NEC ili kukisaidia CCM kipate ushindi wa mezani.
SOURCE: CHANNEL TEN TAARIFA YA HABARI YA SAA MOJA USIKU
This is very serious indeed!!! Tunataka NEC ndiyo wajibu, na siyo Makamba, Kinana au Tambwe Hizza. Tunataka Mzee Makame ajibu bila jazba maana suala lake la kuzeekea hapo NEC ni mjadala mwingine na sababu yake tunaijua.
Mtakumbuka miezi kadha iliyopita NEC walitangaza kuondoa kwenye daftari majina ya wapiga kura zaidi ya milioni mbili kwa kisingizio eti wamekufa, wamehama makazi etc etc. Kumbe ni uongo mtupu. Hilo tangazo lilikuwa ni maandalizi ya kuongeza wapiga kura hewa -- na si kwa maana wapiga kura halisi waliongezeka, la hasha, ni tarakimu tu ambazo zitatumika kumuongezea mgombea wa urais wa CCM kura endapo atashindwa.
Kwa NEC lile tangazo lilikuwa na maana ya kujihami -- kwamba watasema tutaongezaje kura hewa na iwapo tulitangaza kupunguza? Janja ya nyani!! Ni bora uchaguzi usifanyike.
Mwenzio akinyolewa wewe tia maji. NEC ya Tanzania itageuka kuwa kama ya Kenya. Makame atakuwa kama Kivuitu wa Kenya. Ngoja tuone, manake JK aache wananchi wachague rais wanayemtaka. Wananchi tumemkataa Kikwete. Hata Mikutano ya kampeni inajieleza. Watu wanajileta wenyewe kumsikiliza Dr. Slaa siyo hao CCM wanasomba watu kwa magari halafu wanaacha uwanjani na pumba zao. Dr. Slaa Kazana na kampeni Baba, wapiga picha endeleeni kuonyesha namna wanachi wanavyojaa mikutano ya Dr. Slaa na uchache wa watu wa mikutano ya CCM. Saa ya ukombozi imefika. Tumeonewa kiasi cha kutosha tumenyanyaswa kiasi cha kutosha na CCM sasa basi.
Meanwhile, the Chadema Campaign Manager, Prof. Mwesiga Baregu, has urged the National Electoral Commission (NEC) to elaborate on where the 19.6 million voters who are registered in the voters' book have come from, saying that with the country's population, the number was impossible.
He claimed that the country's population was by last year estimated to be 40.6 million people out of which 44.4 per cent were estimated to be under 15 years of age and that the rest of the population minus those under 18 years and those who did not register it was impossible to have 19.6 million registered voters.
According to the recent World Population Data Sheet issued by Population Reference Bureau, Tanzania is one of the countries whose population has many youths less than 15 years (45 per cent).
Prof Baregu noted that from the consultations they have made from several experts, the country like this can have a maximum of 16 million voters other factors remaining constant.
Attempts to reach the NEC Director for Elections, Mr Rajabu Kiravu, to comment on the matter proved futile as his mobile phone was not answered.
Dource;DAILY NEWS SUNDAY 10