Elections 2010 NEC na Wapigakura milioni 19.6: Chadema yashuku daftari limechakachuliwa

Now i know where the 82% popularity of Jk came from.. So REDET and NEC plan all the things very clearer thanks GOD now we know where the war will come from...

the figure is beyond impossible, and untrue,, CCM will start this war and then let see what so called Obama will say....

votes Tanzania are not more than 5-7 milioni so the other 12.6 milioni so the rest are new and fake voters for JK...

Chadema should makesure all the voters are cross checked how let put our ideas... and their representative on the poll station must be well paid and true tanzanians who need changes..

God help Tanzania, For we need changes!!!!

Peace in our destiny, Prosperity is our future... LETS VOTE FOR CHANGE,,,, LETS VOTE FOR SLAA..
 
Umenena vyema mkuu. CHADEMA msilale watu hawa wanawaza CCM wanawaza ufisadi tu hawana nia ya kuikomboa nchi yetu tafadhali CHADEMA chukua ushauri huo muokoe nchi yetu.
 
The Tanzanian peace and harmony and tranquility that we have been enjoying will soon be over not because of the citizens but because of these selfish leaders who want to cling to power at any cost. This Tanzanian Kivuitu/Makame will have to answer in the course of time.
 
Kiutaalam kila chama kinatakiwa kuwa na copy ya voters ili siku ya uchaguzi wapitie jina kwa jina kwa kila mtu anayeingia kupiga kura.. ikiwa utaratibu huu haukufanyika na hautafanyika basi Chadema na vyama vya Upinzani wameumia..
 
Jamani its no too late kufanya kila linalowezekana tupate majibu, kama uchaguzi uahirishwe ni bora ili tuhakiki majina na hao waliojiandikisha kupiga kura. Nadhani sasa mambo ya ushindi lazima tumepata jibu wapi walitaka kupata ushindi lazima.

Pls jamani watu wa karibu waongee na Dr Slaa kuhusu hili ili mambo yawekwe sawa hakuna kulala mpaka kieleweke mwaka huu, ccm pls out we don't want you and your frauds.

Hao waliopunguzwa na NEC kipindi kile kumbe inawezekana ni hao 15, 16, 17years wananchi walitaka kuwajumlisha wakashtuka haraka ili wasije kupata dhahama. Dr waukweli jamani lazima aingie ikulu mwaka huu na nidhamu makazini itarudi, watu wataheshimu hata kazi zao. Mimi niko radhi kufanya kazi hata bila mshahara kwa miezi kazaa ili tujenge nchi yetu upyaa jamani.
 
Umenena vyema mkuu. CHADEMA msilale watu hawa wanawaza CCM wanawaza ufisadi tu hawana nia ya kuikomboa nchi yetu tafadhali CHADEMA chukua ushauri huo muokoe nchi yetu.

Mimi nafikiri watanzania tusilale. CHADEMA peke yao hawataweza, vita ya ukombozi haiwezi kupiganwa na vyama vya siasa pekee-inabidi sote tuwe macho na tugangamale. NEC na CCM wataogopa tu watakapoona kwamba jambo linawakera na linapingwa na watanzania walio wengi kwa ujumla. Vyama vya siasa, civil society, mashirika ya dini, na wananchi kwa ujumla wote tukatae dhuluma ndipo ukombozi wa kweli utakapopatikana.
 
Nyinyi ndiyo mnatakiwa mtoe dira na kuhakiki!
 
Kiutaalam kila chama kinatakiwa kuwa na copy ya voters ili siku ya uchaguzi wapitie jina kwa jina kwa kila mtu anayeingia kupiga kura.. ikiwa utaratibu huu haukufanyika na hautafanyika basi Chadema na vyama vya Upinzani wameumia..

Hili lipo lkn hakuna exit poll system inayoonyesha mpiga kura ni muandikishwa wa chama gani na amempigia kura nani baada ya kupiga kura yake!
 

We keep fighting. We keep wailing.

This sort of things have got their end also.

Pamoja, we revolutionarize our nation
 

niliwahi kuhoji hili suala huko nyuma

You can visit https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/61172-takwimu-hii-ni-sahihi-idadi-ya-wapiga-kura-tz.html
 
mtu yoyote anayewaamini NEC, Makame na Kiravu ni mwendawazimu hii mijitu ni CCM nambari moja kwa hiyo musitegeme chote chote cha maana mimi nangoja mwisho wa mwezi nijeniwacheke watu wale wenye tamaa ya kushinda.
 
hata mimi nilikuwa na wasi na hiyo millioni 19. Tanzania watoto wengi zaidi ya over 18 yrs
 
Kama Data zilizotumika ni za sensa ya mwaka 2002 hii inamaanisha miaka minane imepita kwa mtazamo wa haraka haraka hata mtoto aliyekuwa na miaka 10 wkt huo hivi sasa ameshatimiza umri wa kupiga kura na kama amejiandikisha kwanini idadi hiyo isifike.Uhakiki ndiyo suluhisho na mengine ni propaganda zenye kutaka kupotosha ukweli!
 
Kama Data zilizotumika ni za sensa ya mwaka 2002 hii inamaanisha miaka minane imepita kwa mtazamo wa haraka haraka hata mtoto aliyekuwa na miaka 10 wkt huo hivi sasa ameshatimiza umri wa kupiga kura na kama amejiandikisha kwanini idadi hiyo isifike.Uhakiki ndiyo suluhisho na mengine ni propaganda zenye kutaka kupotosha ukweli!
 
nashukuru mungu swali langu leo limepata jibu zuri...... two weeks ago niliuliza, je ni voters 19.6M au 9.6M? nikaambiwa jibu hilo ni according to NEC

Kwa mbinu hizi, mshindi anajulikana
 
Naona kweli wa TZ tumeamuka na kujua umhimu wa kupiga kura. Sasa 2005 tulijiandikisha wangapi, tukapiga kura wangapi na sasa 2010 tumefika huko? sina uhakika kama hizo takwim ni za kweli. Ila tuliishaambiwa kuwa akili za kuambiwa.........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…